Boss Chest Freezer
• Powerful and Reliable
Ni freezer yenye nguvu na uhakika kwa matumizi ya kila siku ya nyumbani au biashara.
• Easy to Clean Interior
Ndani imetengenezwa kwa urahisi wa kusafisha, kuhakikisha usafi na matumizi bora.
• Quick Freezing
Ina uwezo wa kugandisha chakula haraka ili kuhifadhi freshness kwa muda mrefu.
• Adjustable Thermostat
Unaweza kurekebisha kiwango cha baridi kulingana na mahitaji yako.
• Easy Rolling Wheels
Ina magurudumu yanayorahisisha kusogeza freezer bila usumbufu.
• Interior LED Lighting
Ina taa ya ndani inayokuwezesha kuona vizuri vitu vilivyohifadhiwa.
• High Quality Compressor
Inatumia compressor yenye ubora wa juu kwa performance nzuri ya kupooza.
• Low Noise & Low Power Consumption
Inafanya kazi kwa utulivu huku ikitumia umeme kidogo.