Beba laptop yako kwa usalama na mtindo ukitumia Coolbell CB-8256 Laptop Backpack. Begi hili limeundwa kwa ubora wa hali ya juu, lina nafasi ya kutosha kwa laptop hadi size ya 15.6 inch, pamoja na sehemu za ziada za kuhifadhi vitu vingine muhimu kama charger, vitabu na vifaa binafsi.
Muundo wake wa Black & Gray ni wa kisasa na unafaa kwa matumizi ya kila siku – iwe ni kazini, chuoni au safarini. Pia lina mikanda ya mabegani (shoulder straps) yenye comfort kwa matumizi ya muda mrefu bila kuchoka.
• Inatosha laptop hadi 15.6”
• Muundo imara na wa kudumu
• Nafasi kubwa ya kuhifadhi vitu mbalimbali
• Rahisi kubeba (lightweight & comfortable)
• Inafaa kwa kazi, shule na safari
• Design ya kisasa (Black & Gray)
Chaguo bora kwa yeyote anayetaka ubora, usalama na muonekano mzuri kwa laptop yake.