Mwanangu Mpendwa by Bupe Berrums

(0 reviews)
Estimate Shipping Time: 2 Days

Sold by:
Seko Group

Price:
TZS 10,000 /PC

Quantity:
(50 available)

Total Price:
Share:

JINA LA KITABU: MWANANGU MPENDWA

JINA LA MWANDISHI: BUPE BERRUMS

MWAKA WA KUCHAPISHWA: 2023

KUHUSU KITABU

Kitabu cha Mwanangu Mpendwa ni barua ya mama Kwenda kwa mtoto wa kiume yenye lengo la  kumsaidia mtoto huyu katika kipindi cha mpito kutoka utotoni kuelekea utu uzimani, anapokabiliana na mabadiliko mbalimbali ya kimwili, kihisia n.k, kitamsaidia kupata majibu ya maswali mbalimbali anayopata na pia kuwa kama mwongozo kwenye Maisha yake pale anapohitaji neno la mzazi/mlezi ukizingatia wengi ktika umri huu wapo shuleni mbali na wazazi/walezi wao.


There have been no reviews for this product yet.

Related products