NB: GHARAMA ZA USAFIRI UTALIPIA WAKATI WA KUPOKEA/KUTUMA BIDHAA KULINGANA NA ANUANI ULIYOWEKA
Electric Kettle yenye uwezo wa 3 Liters – chaguo bora kwa matumizi ya kila siku.
• Capacity kubwa (3L) – inafaa kwa familia au ofisi
• Design ya kuvutia yenye mwanga (illuminating light) – ina muonekano wa kisasa jikoni
• Safety lock lid pamoja na boil-dry protection – inalinda kettle na kuhakikisha usalama
• Imetengenezwa kwa stainless steel imara – inadumu na kustahimili joto na baridi
• Flat heating element – rahisi kusafisha na inapasha maji haraka
• Inapasha maji kwa ufanisi mkubwa
• Inafaa kwa matumizi ya nyumbani na ofisini
• Ubora wa uhakika kwa matumizi ya muda mrefu