Ufunuo wa Damu ya Yesu

(0 reviews)
Estimate Shipping Time: 2 Days

Sold by:
Seko Group

Price:
TZS 15,000 /PC

Quantity:
(499 available)

Total Price:
Share:

JINA LA KITABU: UFUNUO WA DAMU YA YESU

MWANDISHI: FELICIAN MAKARIOS PHOS

MWAKA WA KUANDIKWA : 2023

KUHUSU KITABU:

Damu Ya Yesu

Damu ya Yesu ni moja ya mambo yale yasiyoeleweka vema katika jamii ya waamini kwa miaka mingi na hivyo kupelekea matumikio na ibada isiyo sahihi.

Kitabu hiki kidogo kina lenga kutatua changamoto hii na kuleta uelewa sahihi juu ya maana, kusudi, uthamani na matumikio ya damu ya Yesu kwa mwamini kama unavyowekwa wazi na maandiko tangu Musa na manabii, vitabu vya Injili na kisha maelezo yaliyo wazi katika Nyaraka za mitume.

There have been no reviews for this product yet.

Related products