NB: GHARAMA ZA USAFIRI UTALIPIA WAKATI WA KUPOKEA/KUTUMA BIDHAA KULINGANA NA ANUANI ULIYOWEKA
Mkoba wa kisasa kwa wanawake wenye muonekano wa kifahari na wa kuvutia. Unakuja na wallet (purse) inayofanana, hivyo unapata set kamili yenye muonekano mmoja.
Ubora wa hali ya juu na umetengenezwa kwa ustadi ili kudumu. Una chain ya rangi ya gold inayoongeza mvuto wa classy. Unafaa kutumika kazini, kwenye outing au sherehe mbalimbali.
Una nafasi ya kutosha kubeba vitu muhimu kama simu, pesa na vipodozi.