NB: GHARAMA ZA USAFIRI UTALIPIA WAKATI WA KUPOKEA/KUTUMA BIDHAA KULINGANA NA ANUANI ULIYOWEKA
Elegant Mini Ladies Handbag ni mkoba mdogo wa kisasa unaofaa kwa wanawake wanaopenda muonekano wa classy na nadhifu. Mkoba huu una design ya kuvutia na unafaa kubeba vitu muhimu bila kubeba mzigo mkubwa.
• Umetengenezwa kwa material ya leather yenye ubora wa juu na inayodumu
• Una handle ya mkononi pamoja na sling strap kwa kubeba begani au crossbody
• Size ndogo lakini ina nafasi ya kutosha kwa simu, wallet na vitu muhimu
• Lock ya kisasa inayoongeza usalama na muonekano wa kifahari
• Rahisi kubeba na kufaa kwa matumizi ya kila siku au outing
Mkoba huu unafaa kwa:
• Kutoka (outing)
• Matumizi ya kila siku
• Matukio maalum
• Safari ndogo
Ni chaguo bora kwa wanawake wanaotaka mkoba mdogo, mzuri na unaoendana na mitindo ya kisasa