KITABU UTATUMIWA KWA WHATSAPP
Jina: Kovu la Moyo -
Muundo: Softcopy
Mwandishi: Mariam Mbano
KOVU LA MOYO ni kitabu kinachogusa uhalisia wa uhusiano wa kimapenzi/ndoa.Kikieleza namna ya kukabiliana na maumivu ya kuachwa, kujitambua, na kujijenga upya. Kinatoa mwongozo wa kuimarisha mawasiliano, kuvuka changamoto za mapenzi/ndoa na kufanya maamuzi sahihi ya uhusiano/ndoa kwa lengo la kupata upendo wa kweli na maisha yenye amani.