NB: GHARAMA ZA USAFIRI MTEJA ATALIPIA WAKATI WA KUPOKEA AU KUTUMA BIDHAA KULINGANA NA ANUANI ALIYOWEKA
Mchanganyiko wa Faraja na Urembo
Boresha mavazi yako ya ndani kwa chupi zetu za aina ya thong zenye ubora wa hali ya juu!
Ya juu: Chupi ya rangi ya nude yenye mwonekano wa silk na mistari ya kuvutia — nyepesi na maridadi.
Ya chini: Chupi laini isiyo na mshono — haionekani ndani ya nguo, inafaa kwa matumizi ya kila siku!
- Inapumua vizuri | Mtindo wa kuvutia |
-Haina mistari inayoonekana
-Zinapatikana kwa rangi za nude zinazolingana na ngozi yako.