GHARAMA ZA USAFIRI MTEJA ATALIPIA WAKATI WA KUPOKEA/KUTUMA BIDHAA KULINGANA NA ANUANI ULIYOWEKA
Product Description – 99V Premium Men’s Boxer
99V Premium Men’s Boxer ni boxer za kiume zenye ubora wa hali ya juu, zilizotengenezwa kwa kitambaa laini cha cotton stretch kinachokaa vizuri mwilini na kutoa faraja kwa matumizi ya kila siku. Elastic yake ni imara, hailegei kirahisi na hudumu kwa muda mrefu hata baada ya kufuliwa mara nyingi.
Zinapatikana kwa size mbalimbali na rangi tofauti, hivyo mteja anaweza kuchagua kulingana na mahitaji yake. Ni chaguo sahihi kwa wanaume wanaopenda muonekano mzuri, comfort na ubora kwa wakati mmoja.
✔️ Laini na zinavaa kwa comfortable
✔️ Elastic imara isiyolegea kirahisi
✔️ Hazipotezi rangi upesi
✔️ Zinadumu muda mrefu
✔️ Zinafaa kwa matumizi ya kila siku
Tunauza jumla na reja reja.